T Tunga Member Joined Nov 22, 2010 Posts 73 Reaction score 0 Nov 25, 2010 #1 Jamani wadau wenzangu wa "the red devil" hivi kweli kwa kikosi tulichonacho tunaweza twaa ubingwa kweli? au tunahitaji watu wa kuongeza nguvu kwenye usajili wa january......
Jamani wadau wenzangu wa "the red devil" hivi kweli kwa kikosi tulichonacho tunaweza twaa ubingwa kweli? au tunahitaji watu wa kuongeza nguvu kwenye usajili wa january......
Good Guy JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 3,815 Reaction score 1,424 Nov 26, 2010 #2 Oy threads kama hizi za man u,weka kweny 'man u Red devils hatushikiki.' humu kwenye hii category ndo mashabiki wa man u watachangia.'man u 4ever.'
Oy threads kama hizi za man u,weka kweny 'man u Red devils hatushikiki.' humu kwenye hii category ndo mashabiki wa man u watachangia.'man u 4ever.'
N Nucho jr. Member Joined Nov 18, 2010 Posts 59 Reaction score 0 Nov 27, 2010 #3 Good Guy said: Oy threads kama hizi za man u,weka kweny 'man u Red devils hatushikiki.' humu kwenye hii category ndo mashabiki wa man u watachangia.'man u 4ever.' Click to expand... nyc good guy! Do that guy
Good Guy said: Oy threads kama hizi za man u,weka kweny 'man u Red devils hatushikiki.' humu kwenye hii category ndo mashabiki wa man u watachangia.'man u 4ever.' Click to expand... nyc good guy! Do that guy