Man V/s Women mpaka sasa Wanaongoza 3-0

Man V/s Women mpaka sasa Wanaongoza 3-0

Kiokotee

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
1,675
Reaction score
2,211
Nikiunganisha matukio ya hivi karibuni;
Zuchu
Zumarid
Na Huyu wa Mrema.
Mpaka sasa Mans tutaishia kupiga makelele tu mitandaoni ila kiukweli Tufanye sana Ibada hawa watu hatuwawezi,Ukikosekana wewe Mshukuru Mungu ujue kuna mwenzio huko kapatikana!
 
Back
Top Bottom