Kiokotee JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 1,675 Reaction score 2,211 Mar 25, 2022 #1 Nikiunganisha matukio ya hivi karibuni; Zuchu Zumarid Na Huyu wa Mrema. Mpaka sasa Mans tutaishia kupiga makelele tu mitandaoni ila kiukweli Tufanye sana Ibada hawa watu hatuwawezi,Ukikosekana wewe Mshukuru Mungu ujue kuna mwenzio huko kapatikana!
Nikiunganisha matukio ya hivi karibuni; Zuchu Zumarid Na Huyu wa Mrema. Mpaka sasa Mans tutaishia kupiga makelele tu mitandaoni ila kiukweli Tufanye sana Ibada hawa watu hatuwawezi,Ukikosekana wewe Mshukuru Mungu ujue kuna mwenzio huko kapatikana!