Man wake up

Dogoli kinyamkela

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2024
Posts
618
Reaction score
1,440
MAN UP

: Kukua na kujitambua kiakili na kihekima kunaanzia pale,Ambapo
Wewe mwenyewe utakua umechoshwa na wingi wa upumbavu wako..😎😎😎😎

: Jitihada zinazotumika kukufanya uitwe mwanaume hodari,na mwenye nguvu...Mara nyingi hua hazionekani kwa taswira halisi maana huanzia ndani zaidi.😎😎
Lakini kwa nje huonekana kama ni kitu cha kufedhehesha mno.😎😎
Ukiwa unajengwa kiuchumi,kiakili,kiufahamu ni lazima uyajue haya.

1: Ghorofa refu kama burji khalif ambalo ndio ghorofa refu zaidi duniani,kujengwa kwake mpaka likasimama hivyo...kwanza kabisa ilibidi uchimbwe msingi ambao ni shimo refu sana kwenda chini....
Zilitumika nguvu kubwa sana,pesa nyingi sana katika kuujenga msingi...ili kuhakikisha kwamba kutokana na urefu wa jengo hill,ni
Lazima liweze kuhimili,hali zote za hewa,mvua,pepo na kiangazi...😎😎😎
Hivyo siri ya urefu wake ni kwasababu chini sana palizingatiwa.πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ˜Ž

2: Miti mirefu kama misonobari

1. Sequoiadendron giganteum (Giant Sequoia) - Hii ni miti mirefu zaidi duniani, ikifikia urefu wa hadi mita 94 (karibu futi 308).🀣🀣😎

2. Sequoia sempervirens (Coast Redwood) - Hii ni aina nyingine ya misonobari inayoweza kufikia urefu wa mita 115 (karibu futi 379), na inapatikana hasa katika maeneo ya pwani ya CaliforniaπŸ₯ΊπŸ˜Ž.

3. Picea sitchensis (Sitka Spruce) - Miti hii pia ni maarufu na inaweza kufikia urefu wa mita 96 (karibu futi 315).😎😎😎

Misonobari inajulikana kwa nguvu yake na uwezo wake wa kuishi kwa muda mrefu, na baadhi ya miti hii inaweza kuishi kwa zaidi ya miaka elfu moja.πŸ₯ΊπŸ˜ŽπŸ˜Ž

HII MITI
Hutumia muda mwingi mizizi yake kwenda chini ikitafta maji,ikijiimarisha chini kwa uhakika hivyo hupanda juu sanaπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ˜Ž
Mwana wa Adam,au mwana wa udongo mtu
Au mwana wa Mungu,
Kabla hajainuiliwa Juu sana,mbingu za juu sana kushinda mbingu zote(Level za juu sana za ufahamu)
Ilibidi ashushwe chini sana mpaka pande za chini kabisa kuzimu(level za chini kabisa za kutokua na utambuzi kabisa)
Ili kuiweka sawa misingi ya ulimwengu.😎😎😎

3: MSHALE
Ili mshale uweze kufikia target kwa ufasaha na ufanisi,inabidi uvutwe nyuma sana,ili kuuweka sawa kwa kasi ambayo itakumbana na vizuizi vya upepo....nk

MWANAUME/MWANAMKE

Hali uliyonayo ifanye na uichukulie kama ni maandalizi ya wewe kufikia target pale utakapoachiliwa,
Maneno mabaya yanayosemwa kwa uongo dhidi yako,yafanye kama ndio msingi wa kukufisha unapotakiwa.😎😎😎

Waliokutenga wafanye kama ndio wanachimba msingi ili uimarike.

Waliokataa kukushika mkono,kwa msaada wafanye kama ndio msingi wa wewe kufanya vizuri bila wao😎😎😎

mimi naishia hapa...
kama unafikiri uzuri wako ndio unakupatia mademu.
nikutakie siku njema...😎😎

content created by : Dogoli kinyamkela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…