Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
PointMan walter pole kwa kupanic huko unaamini haipo siku mtu wa wcb kurekodi kwako au kujitoa ufahamu muuza maembe hachagui mteja pole maproducer wa ndani mnajitia vidole wenyewe ngoja tuelekee kusini tu kwa God father maana maproducer mna team nchi inavituko hii[emoji23][emoji23] kwann kupangiana maisha eti mtu asitoe nyimbo yake kisa mtu fudenge kibakuli ye kama nani nchi hii nasema # tusipangiane, endeleeni kutumia nguvu na kampeni za dada yenu kigagula yule psychopath kizuri chajiuza kibaya chajitembeza[emoji23][emoji23][emoji23]
Aslay katoa nyimbo zaidi ya nne katika kipindi kifupi na zote ni bora ukilinganisha zilizotolewa na Ali Kiba au zile Wasafi hivi karibuni
Man walter pole kwa kupanic huko unaamini haipo siku mtu wa wcb kurekodi kwako au kujitoa ufahamu muuza maembe hachagui mteja pole maproducer wa ndani mnajitia vidole wenyewe ngoja tuelekee kusini tu kwa God father maana maproducer mna team nchi inavituko hii[emoji23][emoji23] kwann kupangiana maisha eti mtu asitoe nyimbo yake kisa mtu fudenge kibakuli ye kama nani nchi hii nasema # tusipangiane, endeleeni kutumia nguvu na kampeni za dada yenu kigagula yule psychopath kizuri chajiuza kibaya chajitembeza[emoji23][emoji23][emoji23]
Duh, wimbo hauwezi kuandaliwa siku moja"?Pruduser akili hamna usha wahi kuona wimbo unaandaliwa siku moja na kutoka alafu hoja finyu msiwe mnazileta humu inabid watu waumize vichwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bonge la povu sijui la Omo au sunlight!Man walter pole kwa kupanic huko unaamini haipo siku mtu wa wcb kurekodi kwako au kujitoa ufahamu muuza maembe hachagui mteja pole maproducer wa ndani mnajitia vidole wenyewe ngoja tuelekee kusini tu kwa God father maana maproducer mna team nchi inavituko hii[emoji23][emoji23] kwann kupangiana maisha eti mtu asitoe nyimbo yake kisa mtu fudenge kibakuli ye kama nani nchi hii nasema # tusipangiane, endeleeni kutumia nguvu na kampeni za dada yenu kigagula yule psychopath kizuri chajiuza kibaya chajitembeza[emoji23][emoji23][emoji23]
Tena apunguze kulialia km taahiraNyimbo nzuri lakini zote nne subject moja, anaimba kuhusu mpenzi wake kamkimbia. Anatakiwa kuwa mbunifu sio nyimbo zote anapita humo humo