Man who abandoned wife, six kids returns home after 51 years

Anastahili pongezi mama wa watoto.Mana Baba watoto karudi na pua ya kunusa ubwabwa na kadudu kake.
 
Huyu fala tu hana lolote.
Umeenda kula maisha huko 51 years ndo unarudi unazuga na visababu vya kijinga kabisa
 
Ila haya mambo bhna yapo. Dada yetu mmoja alishawahi kuondoka akiwa na age ya 28 iv baada ya kuachika kwa mumewe. Alirudi home akiwa na age ya 69 iv. Alirudi akiwa ana wajukuu tayali. Dah maisha aya *****
Alienda wap sasa, na kwa nini hakurudi muda wote huo?
 
huyu mzee kama sio mchawi atakuwa mwanga,cheki hayo macho yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…