Man who jumped off Mabirizi complex is dead

Watu wanapotosha hii habari yule kijana amejirusha huko Mbarizi Nchini Uganda....kwa sababu ya kukosa kazi na wala sio kwa sababu mapenzi........
mimi mwenyewe nilijua ni maisha umesoma gazeti leo mkuu imeandikwa hiyo tena kurasa za mbele za global publisher
 
Nimesomeshwa na wazazi wangu lakini rafiki yangu kasomeshwa na mchumba wake na this year tumemaliza chuo wakaoana.
Inategemea na mtu.
huyo inaonekana walikuwa wakisoma pamoja au sehemu tofauti
 
mimi mwenyewe nilijua ni maisha umesoma gazeti leo mkuu imeandikwa hiyo tena kurasa za mbele za global publisher

Labda kama ni habari mbili tofauti....lakini kama ni ile ya Mbalizi basi ni masuala ya ukosefu wa kazi....
 
Labda kama ni habari mbili tofauti....lakini kama ni ile ya Mbalizi basi ni masuala ya ukosefu wa kazi....

hata kama ukosefu wa kazi ndo ujinyonge mkuu gazeti la mikasa hili ingia hata millard ayo


kwanini ujiue lakini?
 
mkuu umelifanya kweli? kama ni hadithi usiseme mwenzio kafariki juzi tu hata kuzikwa bado mapenzi yanahitaji umakini sana
HATA KAMA PEPO HILI LIMEZIDI

kwanza kwanini usomeshe mpenzi??? mpaka kunyima kula??

Mbona kusomesha ni rahisi sana kuliko kumtunza mdada wa mjini? Unalijua hilo?
 
Reactions: MC7
Alijilazimisha kufanya majukumu ambayo hayamhusu wacha aende tu mbele ya haki. Kumsomesha mke ambaye mmekwisha zaa watoto ni sawa ila mchumba siyo sawa kwa Bongo hii ninayoifahamu mimi.
 
Reactions: MC7
Mi nishasemaga kwa nini mtu uingilie majukumu ya wazazi wa mtu.
Binti ana baba na mama wewe kujihereheresha kumsomedha ulitumwa?

Apumzike kwa amani ila ajue ametutia aibu wanaume
 
Pic hii apa
 

Attachments

  • 1473246237741.jpg
    27.4 KB · Views: 59
Reactions: MC7
Wanawake wanaokuja katika maisha yako kwa ajili ya ulichonacho mara nyingi ni chanzo,hapo usikute alifukia kila apatacho kwa mweza,ilipoonekana dalili ya kugeuka kimapato mwanamke anakaa pembeni,wanawake wa hivi ni hatari kuliko cobra,ila bado kujiua ni suluhu ya kijinga sana.
 
Ndiyo no
sijui kwa hili tukio tutasema ni kazi ya Mungu haina makosa au tusemeje!

Ndyo hii ni kazi ya mungu kwani Dunia yote ipo chini ya miliki ya Mungu hivyo hakuna chochote kinachoweza kutokea duniani bila ridhaa yake.
 
Kafariki leo huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…