Man yuu, inabondwa na kunyongwa

Hivi club kubwa kama Man u inashindwaje kuwa na maamuzi magumu safisha wachezaji wanakula ugali wa bure badili kocha anakula mshahara wa bure
 
Makocha wamebadili wangapi mpaka sasa?. Usisahau walikuja wakina Di Maria pale🤣🤣🤣🤣
 
Wanabadili makocha wasioiweza Man U hapo ndiyo problem, mfumo unawakataa wachezaji wazuri😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…