Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Tabia aliyoianzisha Lema ya kujifanya ni nabii aliyetumwa na Mungu kutabiri mambo mbalimbali sasa inashika kasi na wameanza kuibuka watu mbalimbali maarufu na walio wa kawaida tu nao sasa wakijafanya ni manabii katika siasa za nchi, huu ujinga na utapeli ukomeshwe sasa.
Katika taifa la watu milioni 60 watu wanaweza kuongea mambo mengi mbalimbali ya kisiasa kwa kubahatisha tu kama wacheza kamari na yakatokea.
Katika taifa la watu milioni 60 watu wanaweza kuongea mambo mengi mbalimbali ya kisiasa kwa kubahatisha tu kama wacheza kamari na yakatokea.