Manabii uchwara wa kwenye siasa wanashika kasi

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Tabia aliyoianzisha Lema ya kujifanya ni nabii aliyetumwa na Mungu kutabiri mambo mbalimbali sasa inashika kasi na wameanza kuibuka watu mbalimbali maarufu na walio wa kawaida tu nao sasa wakijafanya ni manabii katika siasa za nchi, huu ujinga na utapeli ukomeshwe sasa.

Katika taifa la watu milioni 60 watu wanaweza kuongea mambo mengi mbalimbali ya kisiasa kwa kubahatisha tu kama wacheza kamari na yakatokea.

 
Inshu sio kutaburi au kutotabiri hapa inshu ni kutokea au kutotokea kwa jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…