Manabii (Wahubiri) watano maarufu zaidi Tanzania.

Tuko japani katupeleka kujifunza uvuvi…. Tutaeudi na meli ya uvuvi

Wenzetu wako Birmingham

Yule ndiye aliyetabiriwa kwenye maandiko
🤣🤣
Gwajima ni mwanaharakati. Hio inatosha kusamehe dhambi zingine bana😄
 
Bila mwalimu Christopher Mwakasege?
 
Mfalme Zumaridi je? Usinchukulie mfalme poa.
 
Swali la kuuliza, wanakidhi hadhi ya kuwa nabii?
 
Halaf utasikia waislam hawana akili, uko Israel tu hakuna anaejiita nabii zama hizi lakni WANYAKYUSA wambeya wana manabii wengi kuliko Israel ya kale
 
Msichanganye karama za Mungu, kuna wachungaji, wainjilisti, walimu na manabii
 
Baada ya YESU.. basi NAJIOMBEA MWENYEWE...na kuiombea familia yangu....
 
Kwa nn Watumish wengi
Utakuta wanamajina ya
David
Emmanuel
John
Paschal
 
Nabii Mkuu ni Joe Davie mwenye maskani yake pale mkoani Arusha
Wengine ni photocopy
 
Unamwachaje Mzee wa upako na wle wa kulamba Lips(Hananja) na kufundisha ngono(Mgogo)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…