Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Nabii mmoja yule alikuwa anasema Dar itasombwa na bahari. Ninekaa mikoani muda mrefu sana naogopa kuja Dar.
Kumbe yule Nabii hajaona kitu chochote anasema,"Bwana kanionesha hivi usiku wa jana."
Kila siku manabii wanasema,"Mama Samia, jitayarishe kurudi Kizimkazi. Bwana amesema hataki uendelee kuwa rais. " Lakini Rais Samia anazidi kuimarika katika uongozi wake.
Lakini sasa mimi nasema matatizo yataanza kutokea.
Bwana hajaniambia kitu. Mi nadhani tutaanza kuona matatizo yanatokea.
Kwa sababu ambazo sio clear nadhani tutaanza kuona mabadiliko katika tabia za watu.
Au labda sababu zipo?
What does it profit a man if he gains the whole world but looses his soul?
Unajenga flyover, unajenga all sorts of nice things but you are behaving like a vampire towards the people.