tovuti website
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 433
- 546
Hapana sio Desi-Ni uwekezaji kwenye SMBs.Sio DECI hii?
Watu wanaogopa kupigwa!
Ni kama unapofanya biashara ya UBIA ila sasa kunakuwa na mtu kati kwa ajili ya kusimamia uwekezaji wako na kukushauriHebu fafanua vizuri huo uwekezaji sisi tusio great thinkers tuelewe kwa kina...