Zipo sababu nyingi:
1. Matarajio yao.
2. Malipo yao.
3. Organization policy.
4. Idadi Yao na wingi wa kazi.
5. Tabia za viongozi wao.
6. Masaa wanayofanya kazi.
7. Mchanganyiko wao in terms of sex.
Ukizichanganua hizi unapata not less than 5 pages kama unaandika kwa mkono.