Ahsante sana mkuu,mkuu job descriptions haziko uniform, zinategemea na aina ya organization. Meneja wa shirika A si lazima kazi zake zifanane na meneja wa shirika B. Kinacho takiwa kaeni chini mziangalie zile core activities na chain yake. Amueni kazi hizi zifanywe na nani kulingana na nature ya organization yenu napia skills zinazohitajika ili activities hizo yifanyike
Funguka wakuu
Manuals zina kazi gani...???? Au vitabu vina kazi gani...??? Hata huko shule tunadesa mitaala, lugha, topics etcAthari za madesa. Yaani mtu hawezi kuunda kitu chake mwenyewe kulingana na mahitaji yake hadi adese. Duu hatari
Athari za madesa. Yaani mtu hawezi kuunda kitu chake mwenyewe kulingana na mahitaji yake hadi adese. Duu hatari