Management ya Ali Kiba ni mbovu! Imekosa vision na innovation

Umeongea pointi, ukitaka kujua aina ya mashabiki alionao nenda kaingalie hiyo "aje" mkito halafu angalia na aliotoa nao wakati mmoja kisha linganisha huo "uking" anaosifiwa ndio utajua jamaa yeye mwenyewe kilaza na mashabiki wake ni vilaza.
 
Rockstar4000 wamekuwa wakimuandalia show Jide na sasa tarehe 4 yuko Dom! Wote Jide na Kiba ni management moja .....sasa inakuwaje washindwe kumuandalia show?

Kama ni kweli manager ni tatizo kwanini Alikiba asiachane nae?

Alikiba ndio tatizo!
Labda anajisikia soo kupiga show mbuzi wakati 'mwenzake' anazunguka Duniani..

Ndio ubaya wa kujivisha 'uKing' ambao hauna.!! Majivuno mengi wakati mipango hana
 
Mimi ninge mshauri Alikiba aachane na mziki kabisa...
Naona hapa hatimaye umekitowa kilichoujaza moyo wako.

Sisi wengine so wahudhuriaji wa hizo show wacha atutumbuize tu inatutosha, sijawahi kuona Watanzania tukitakiana mema au Fulani afanikiwe hii inaanzia ngazi ya familia. Hapa umejaa unafki tu hakuna lolote.

Hivi Kiba ana kipaji gani au muziki gani cha kuwashinda Afande Sele, Fid Q, Juma Nature, Process Jay, AY, Mwana FA n:k? He ana manikio yepi kimuziki kumshinda Kiba?
Hivi ni lazima kila level ya Diamond ifikiwe na Kiba? Huu ndio uzuzu wa Wabongo kucomplicate maisha wakati maisha kamwe hayawezi kufanana na isitoshe si kila mtu anaweza kuishi na hirizi kiunoni na kutowa makafara, kwa maoni yangu binafsi Kiba amepiga hatuwa kubwa sana kulinganisha na halikotoka.

Sisi wenyewe Kazi ya kuchonga ngenga tu hapa JF tujiulize huko kitaa inakuwaje wenzetu wana mijengo ya ukweli masaki na wanakokota mikoko ya ukweli sisi mbona bado tunapigania hela ya kula tu ilihali wote tumezaliwa uchi?

Wabongo bhana!! Ukuda tu.


Mimi ninge mshauri Alikiba aachane na mziki kabisa...
 
Tatizo ni moja alilisema Benpol Ali Kiba is overrated.

Media zimempa Kiba uwezo asiokuwa nao.

Pia kuhusu shows Ali Kiba bado hana fan base ya kutosha kusapoti show zake alijaribu akapata hasara.

Mashabiki wa Kiba ndio mashabiki wa Wema Sepetu sasa tazameni maudhulio ya events anazoandaa Wema ndio mtapata majibu.
 
Umegusa ukweli bibie Lara 1.!!
Tatizo la Kiba hataki kufanya mziki biashara bado anafanya mziki burudani. Ndio maana utakuta anatoa hit kali lakini tunaishia kuipiga geto na kuisikia kwenye fm radios. Shows mpaka aitwe Fiesta, tigo & Co wengine.
Ikiwa akina Barnaba wanafikiria kuanzisha Lebo zao wewe bado unasainishwa lebo za watu.

Rudi kwenye mstari braza Kiba watoto wa juzi watakukimbiza town.
 
Huyu Benpol unaweza kutueleza amepata mafanikio gani kumzidi Kiba?
 
Ali Kiba look like a fish in finding
nemo!!
 
Naona watu wengi mnasumbuliwa na wivu wa transgender ambao ni wivu mbaya kuwahi kutokea katika ukanda huu wa afrika ya mashariki.
 
Okay, naona kaenda kuwa Ndi Ndi Ndi wabunge.
Nafurai kuona alichokifanya Diamond miaka minne iliyopita leo Jide na Alikiba ndo wanashauriwa kufanya... Diamond ni game changer for sure... Japo hatutaki kukubali ukwel Diamond ni business minded since day one...he's very aggressive ktk music industry na naona atazidi kuwagalagaza mpka atakaposema pooh..
 
Umeongea pointi, ukitaka kujua aina ya mashabiki alionao nenda kaingalie hiyo "aje" mkito halafu angalia na aliotoa nao wakati mmoja kisha linganisha huo "uking" anaosifiwa ndio utajua jamaa yeye mwenyewe kilaza na mashabiki wake ni vilaza.
Nafurai kuona alichokifanya Diamond miaka minne iliyopita leo Jide na Alikiba ndo wanashauriwa kufanya... Diamond ni game changer for sure... Japo hatutaki kukubali ukwel Diamond ni business minded since day one...he's veryaggressive ktk music industry na naona atazidi kuwagalagaza mpka atakaposema pooh..
 


Tumeshamtumia ujumbe kule insta nazan dada atasoma
Mi mwenyewe napenda sana juhudi zake ila kukosekana wa show za alikiba hii kitu inanikera sana na ukichek wana base kubwa sana ya mashabiki wanaosupport mziki wa alikiba. Inakera sana
 
Wewe unadhani Dr Ricky anaweza kuwa kocha au Shaffi Dauda akipewa yeye Uenyekiti wa Simba ataweza? Kuosha mdomo na kutenda ni vitu viwili tofauti

HAHAHAAAAAAAAAAA! Mshaanza fitina shavu lenyewe hata sijapewaaa! Nini shafii Dauda? Maulid Kitenge kabisaa.
 

Tobaaaaaaaaaa!
 
Kwani SONY record lebo imemsaini msanii gani wa kizazi kipya..!?
Hapo ndio nikikumbuka maneno ya WCB diamond platinumz naona japo tunamkashifu wa uswazii ila ana akili ya pesa na management yake ipo poa.

*ngoja tuone SONY itamsaidia vipi kibakuli maana iliwasaini wanamziki wa injili ila hawasikiki kama wakati wapo solo
 

HAHAHAAAAAAAAAA! CHUNGU LAKINI DAWA!
 
HAHAHAAAAAAAAAAA! Mshaanza fitina shavu lenyewe hata sijapewaaa! Nini shafii Dauda? Maulid Kitenge kabisaa.
Okkey ngoja nidownload hiyo app ya Instagram kwenye device yangu niende kuona umbea huko maana hizo screen short za Account yaSeven waosha vinywa aaizi itakuwa ni mitusi tu huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…