Nawashukuru wote walio respond na waliofikiri nimekuwa mkali nawaomba samahani,labda sikuweza kujieleza vizuri kwa aliyeuliza kati ya currencies 2 ndio nilitaka kumueleza kuwa nilikuwa tayari kumlipa kati ya zile alizouliza.
Napenda kuwashukuru na kuwaeleza kuwa amepatikana mmoja kati ya walioomba/ni pm.
Nawashukuru kwa muda wenu,ila aliyefanikiwa ameni convince nimekubali kumlipa zaidi kidogo kuliko nilivyofikiri.
Walionitukana nao nawashukuru na nadhani makosa niyakubali kuwa ni yangu na nimeyapokea matusi.
E A S T E R N J E M A NDG ZANGU WANA JF.