Manager wa Ney wa mitego ashangazwa na utajiri wa Ney

Manager wa Ney wa mitego ashangazwa na utajiri wa Ney

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Miezi miwili iliyopita msanii Ney wa mitego alianika utajiri wa ajabu zikiwemo nyumba nne na gari moja ya kisasa Nissan Murano!! Akichezesha taya na mwandishi wetu aliyekuwa Manager wa Ney amesema tangu aachane na Ney miezi 7 iliyopita alikuwa hana hata nyumba moja.

Ameshangaa kumuona ana nyumba nne ghafla lakini manager amesema inawezekana jamaa anatafuta kiki ili watu wanaomuita kwenye show wafikirie kumpa mpunga mrefu na si laki laki wanazolipwa kwenye fiesta.

Amefunguka kwamba Ney kuwa na hizo nyumba basi itakuwa ni miujiza.
 
inawezekana bana....kwani tangazo la airyel switch on kala bi ngapi,vile. pia mutakuwa mumemnukuhu tru boy vibaya ana nyumba ya vyumba vinne na ngari nisan murrano ya kukodi atembelee.

again it is posibo....ndere at its best kama ndomo aliyekatazwa namgangake kumuhudumia mshuwa wake hata kwa jero la panadol

ni hayoooooooooooooooo tu
 
Yote yawezekana Hamna mwisho usio na mwisho itajulikana mbichi na mbivu
 
kwani manager wake anaitwa nani? Samahani lakini... Ntarudi baada ya jina hlo kupatikana.
 
ana nyumba moja ila ana vwanja 2 na yuko mbioni kujenga nyingine
 
Nyumba nne???? Au sijui tarakimu siku hizii
 
ana nyumba moja ila ana vwanja 2 na yuko mbioni kujenga nyingine

Acha umiliki kwa ile nyumba hata hela ya kupanga sidhani kama anayo,ile haipungui jiwe 5 kwa mwezi....Kama ile Murano yake aweke namba zake za gari tuingie mtamboni tra tumuumbue maana wakati anaonyesha ilikuwa na chasis number!!
 
Mi huwa ananitia shaka hivi mzima huyu??Jamaa ana mwili laini sana yuko soft sana kama dizain flan!ingawa mwenyewe anapenda aonekane mgumu!!..any way tumuachie mwenyewe na vyanzo vyake vya mapato
 
Back
Top Bottom