King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Who care?
Duh...kweli kiswahili kinakua...Akichezesha taya na mwandishi wetu
Haaaaa ingekuwa matangazo unapata nyumba 4 joti basi angekuwa na nyumba 100.
Nitakuwa mtu wa mwisho kumuamini NEY na mali zake...
Wangekuwa na Elimu hata wasingedanganya kingese hivi'''
Yaani Hai-make sense hata kwa mtoto!!!
ana nyumba moja ila ana vwanja 2 na yuko mbioni kujenga nyingine
kwa mziki upi hasa...
Hata mimi nina mashaka nae
Hata mimi nina mashaka nae
Nyumba nne???? Au sijui tarakimu siku hizii
Duh...kweli kiswahili kinakua...
Mkuu hapo unatumia mashine ,sipati picha mwandiko wako.
Ney wa Mitego ana nyumba nne kazijenga facebook na kwenye tv