Ulitakiwa kuanza na ushahidi siyo haya maneno kwamba una ushahidi utauweka.Nitauweka hapa punde tu, ninaushahidi wa kutosha, nakamilisha mambo machache. Ni vema tuwe na wazalendo wa kweli wa Nchi yetu, tutafichua Kila Kona tuilinde Nchi yetu na mafisasi
Tena huyu mtoa mada ni muuajiAcha uchawi
WEka ushahidi ili ku support. Lifanyiwe kaziManager wa TRA wa mkoa wa Kilimanjaro kushirikiana na wakwepa Kodi, Kuna vijana wamekamata mzigo ambao haujalipiwa Kodi na manager akawapigia vijana wa fast team kuwa wamwachie , na mzigo unashushwa sasahivi kiwanda Cha spirit pale Njia panda ya Machame. Wahusika mfatilieni huyu Manager wa Mkoa
Inaonekana wewe ni mtumishi huyo meneja kakubana huo mzigo ulitaka rushwa kakushtukia ulitaka bambikia mlipakodi meneja kakuwasha sasa unakuja huku leta kelele. kama kweli lete ushahidi siyo tishia nyau eti asipojirekebisha. hii inaitwa majungu na hapo ninauhakika huyo meneja kakubana huna pakupumulia. Kama kweli weka ushahidi basiAsipo jirekebisha nitaweka ushahidi wote hadharani. Mm ni mlipa Kodi kindakindaki alafu mtu anakwepa Kodi kizembe kutunisha matumbo yso