ni kweli huwa inafanyika vetting kwa watu watatu then mkuu anachagua jina moja, lakini kwa taratibu kazi kama hizo kwa sasa lazima itangazwe sidhani kama kuna changa la macho...kwa sasa nafasi kama hizoo zinatangazwa waombaji wanajitokeza na baada ya usaili majina matatu yanapelekwa kwa mkuluu kwa uteuziii...
mara nyingi ni changa la machoo tuu kwani mteulee lazimaa mkuluu amkubaliiii na sio vyinginevyoooo
kweli mkuu wenye uwezo wajaribu wafanye mabadiliko na si kuendelea kulalamika katika vijiwe NAFASI NDIO HIYO CHANGAMKIA...May be wanajaribu kupata new people with different kind f exposure...
Recently Tanesco imekuwa ikitangaza sana nafasi za kazi I'm not sure kama watu wanajiondoa au kampuni inakuwa, ila ya MD imekuwa ni mpya kwangu!
Wenye uwezo wajaribu na wakipata wafanye mabadiliko shirika likue...
Katika magazeti ya jana jioni Badra Masoud ambaye ni afisa uhusiano na habari wa Tanesco amesema hatambui hilo tangazo limetoka wapi na kuyatahadharisha magazeti yaliyotoa tangazo kuwa wasitegemee malipo kutoka tanesco.
Gazeti la Majira linaripoti hivi:Katika magazeti ya jana jioni Badra Masoud ambaye ni afisa uhusiano na habari wa Tanesco amesema hatambui hilo tangazo limetoka wapi na kuyatahadharisha magazeti yaliyotoa tangazo kuwa wasitegemee malipo kutoka tanesco.
Mwanangu pale TANESCO kuna fitna/majungu sana. Nadhani Dr. Rashid ameona kufanya kazi pale kunatosha bora angalie ustaarabu mwingine.