Ugali wa mafuta ya simba na pizza ya matunda damuMsosi gani mwengine ungependa tukuonyeshe, ugali wa ufuta au wali wa unga wa ndizi?
Msosi gani mwengine ungependa tukuonyeshe, ugali wa ufuta au wali wa unga wa ndizi?
Inabidi apate supu ya kinyesi cha kuchemshwa ndio tuendelee nae!Ulitaka kutwa watu walumbane mambo ya siasa
Wanasiasa wenyewe mnaowapigania hawaeleweki
Ova
😆😆😆😆😆😆😆😆Mkuu umenifanya nicheke usingizini
Nilidhani nimeshaona yote kumbe badoMananasi ya kukaanga unaweza kula na mishakaki ya machungwaView attachment 1639257
Hivi nyie niaje aisee!, mbona mnazingua kinoma?Na Keki ya mchicha
Tunazingua nini mkuu Mjuni LwamboHivi nyie niaje aisee!, mbona mnazingua kinoma?