Manara aanza kudai yeye ndiye kampa mafanikio Fei Toto kwa kubusu mguu wake

Manara aanza kudai yeye ndiye kampa mafanikio Fei Toto kwa kubusu mguu wake

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Amemwahidi atafanya makubwa zaidi ya leo.Anaamini yeye eti ndiye kachangia goli la leo kwa busu alilotoa.

Unaweza kuta huyu msukule anaimani potofu kuhusu hali yake kwa kudhani huwa ina ka baraka fulani.Ukweli Fei Toto ni mchezaji mzuri tu bila hata Manara.Asianze kutaka kutwaa sifa za bure kama alivyozibeba kichwani mwake sifa za Simba akijidanganya yeye ndiye alikuwa kila kitu.
 
Manara hajawahi kucheza mpira maishani mwake na wala hajuwi lolote kuhusu mpira zaidi ya kushangilia na kupiga kelele uwanjani. Kama huamini wewe mpe cha ndimu tu mwambie akupigie danadana 5 tu uone kama anaweza. Kale kajamaa kanacheza na furza, yaani anajuwa kucheza na akili za watanzania wampao ujiko.
 
Manara anafanya kazi yake,uongo na porojo kwake ndo pesa inaingia.
Shida ipo kwa mtu kama wewe unaeshughulishwa na porojo za Manara.
 
CAF Official Clubs Ranking (5-year ranking)
Viwango vya club mwa miaka 5

1. Al Ahly [emoji1093]
2. Espérance [emoji1249]
3. Wydad Casablanca [emoji1173]
4. Raja Casablanca [emoji1173]
5. Zamalek [emoji1093]
6. Mamelodi Sundowns [emoji1221]
7. TP Mazembe [emoji1078]
8. RS Berkane [emoji1173]
9. Horoya [emoji1119]
10. Etoile Sahel [emoji1249]
11. Pyramids [emoji1093]
12. Simba [emoji1241]
13. AS Vita [emoji1078]
14. Kaizer Chiefs [emoji1221]
15. Enyimba [emoji1184]
16. JS Kabylie [emoji1026]

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
𝐓𝐔𝐈𝐓𝐀𝐅𝐔𝐓𝐄 𝐘𝐀𝐍𝐆𝐀 𝐒𝐀𝐒𝐀
17. Al Hilal [emoji1232]
18. CS Sfaxien [emoji1249]
19. MC Alger [emoji1026]
20. Hassania Agadir [emoji1173]
21. 1° de Agosto [emoji1029]
22. Orlando Pirates [emoji1221]
23. Coton Sport [emoji1062]
24. CR Belouizdad [emoji1026]
25. Al Masry [emoji1093]
26. ES Setif [emoji1026]
27. USM Alger [emoji1026]
28. Zesco United [emoji1268]
29. Nkana [emoji1268]
30. Zanaco [emoji1268]
31. El Nasr [emoji1149]
32. FC Platinum [emoji1269]
33. Rangers [emoji1184]
34. Al Merreikh [emoji1232]
35. JS Saoura [emoji1026]
36. Lobi Stars [emoji1184]
37. ASEC Mimosas [emoji1081]
38. KCCA FC [emoji1254]
39. DJoliba [emoji1159]
40. Teungueth [emoji1211]

𝐍𝐈𝐌𝐄𝐂𝐇𝐎𝐊𝐀
41
42
43
44
45
46
47
48
49
50
𝐁𝐀𝐃𝐎 𝐒𝐈𝐖𝐀𝐎𝐍𝐈 𝐖𝐀𝐏𝐎 𝐊𝐖𝐄𝐋𝐈
51
52
53
54
55
56
57
58
59
60
𝐊𝐇𝐀𝐀𝐀𝐀𝐀 𝐖𝐀𝐊𝐈𝐇𝐈𝐒𝐓𝐎𝐑𝐈𝐀 𝐇𝐀𝐖𝐀𝐏𝐎
61
62
63
64
65
66
67
68
69
𝐌𝐀𝐖𝐄𝐄𝐄 𝐁𝐀𝐃𝐎 𝐓𝐔??[emoji849][emoji849]
70. Young Africans [emoji1241]
 
Manara kaweka historia nzuri sana kuzaliwa yanga kalelewa na kukuzwa yanga, ni mwanayanga wa kuzaliwa sio kishabiki huko simba kilimpeleka kazi maalum tu ambayo kwa kiasi hakufanikiwa kuisambaratisha...
 
Yanga wenyewe wanasemaje juu ya manara
👇yanga wenyewe
20210907_223142.jpg
 
Amemwahidi atafanya makubwa zaidi ya leo.Anaamini yeye eti ndiye kachangia goli la leo kwa busu alilotoa.

Unaweza kuta huyu msukule anaimani potofu kuhusu hali yake kwa kudhani huwa ina ka baraka fulani.Ukweli Fei Toto ni mchezaji mzuri tu bila hata Manara.Asianze kutaka kutwaa sifa za bure kama alivyozibeba kichwani mwake sifa za Simba akijidanganya yeye ndiye alikuwa kila kitu.

Asije kusababisha wale jamaa wakaanza kuwawinda wale wa aina yake!
 
Amemwahidi atafanya makubwa zaidi ya leo.Anaamini yeye eti ndiye kachangia goli la leo kwa busu alilotoa.

Unaweza kuta huyu msukule anaimani potofu kuhusu hali yake kwa kudhani huwa ina ka baraka fulani.Ukweli Fei Toto ni mchezaji mzuri tu bila hata Manara.Asianze kutaka kutwaa sifa za bure kama alivyozibeba kichwani mwake sifa za Simba akijidanganya yeye ndiye alikuwa kila kitu.
Nasikia hata Mpili ni baraka zake
 
Manara kaweka historia nzuri sana kuzaliwa yanga kalelewa na kukuzwa yanga, ni mwanayanga wa kuzaliwa sio kishabiki huko simba kilimpeleka kazi maalum tu ambayo kwa kiasi hakufanikiwa kuisambaratisha...
Kaisambaratishaje sasa wakati aliondoka analia kama mtoto wa kike?
 
CAF Official Clubs Ranking (5-year ranking)
Viwango vya club mwa miaka 5

1. Al Ahly [emoji1093]
2. Espérance [emoji1249]
3. Wydad Casablanca [emoji1173]
4. Raja Casablanca [emoji1173]
5. Zamalek [emoji1093]
6. Mamelodi Sundowns [emoji1221]
7. TP Mazembe [emoji1078]
8. RS Berkane [emoji1173]
9. Horoya [emoji1119]
10. Etoile Sahel [emoji1249]
11. Pyramids [emoji1093]
12. Simba [emoji1241]
13. AS Vita [emoji1078]
14. Kaizer Chiefs [emoji1221]
15. Enyimba [emoji1184]
16. JS Kabylie [emoji1026]

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
𝐓𝐔𝐈𝐓𝐀𝐅𝐔𝐓𝐄 𝐘𝐀𝐍𝐆𝐀 𝐒𝐀𝐒𝐀
17. Al Hilal [emoji1232]
18. CS Sfaxien [emoji1249]
19. MC Alger [emoji1026]
20. Hassania Agadir [emoji1173]
21. 1° de Agosto [emoji1029]
22. Orlando Pirates [emoji1221]
23. Coton Sport [emoji1062]
24. CR Belouizdad [emoji1026]
25. Al Masry [emoji1093]
26. ES Setif [emoji1026]
27. USM Alger [emoji1026]
28. Zesco United [emoji1268]
29. Nkana [emoji1268]
30. Zanaco [emoji1268]
31. El Nasr [emoji1149]
32. FC Platinum [emoji1269]
33. Rangers [emoji1184]
34. Al Merreikh [emoji1232]
35. JS Saoura [emoji1026]
36. Lobi Stars [emoji1184]
37. ASEC Mimosas [emoji1081]
38. KCCA FC [emoji1254]
39. DJoliba [emoji1159]
40. Teungueth [emoji1211]

𝐍𝐈𝐌𝐄𝐂𝐇𝐎𝐊𝐀
41
42
43
44
45
46
47
48
49
50
𝐁𝐀𝐃𝐎 𝐒𝐈𝐖𝐀𝐎𝐍𝐈 𝐖𝐀𝐏𝐎 𝐊𝐖𝐄𝐋𝐈
51
52
53
54
55
56
57
58
59
60
𝐊𝐇𝐀𝐀𝐀𝐀𝐀 𝐖𝐀𝐊𝐈𝐇𝐈𝐒𝐓𝐎𝐑𝐈𝐀 𝐇𝐀𝐖𝐀𝐏𝐎
61
62
63
64
65
66
67
68
69
𝐌𝐀𝐖𝐄𝐄𝐄 𝐁𝐀𝐃𝐎 𝐓𝐔??[emoji849][emoji849]
70. Young Africans [emoji1241]
umejitahidi mimi nilipofikia nafasi ya hamsini nikachoka kumbe wapo 70
 
Msimu uliopita manara alisema hakuna mchezaji mwenye kiwango cha kusajiliwa na simba kutoka yanga .. labda kidoogo fei na yeye akija ukiangalia safu ya simba pale mbele hana nafasi itabidi apiganie benchi.
 
Back
Top Bottom