kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Achape Tu Kazi Yake.Manara mbele kwa mbele
Manara hajawahi kucheza mpira maishani mwake na wala hajuwi lolote kuhusu mpira zaidi ya kushangilia na kupiga kelele uwanjani. Kama huamini wewe mpe cha ndimu tu mwambie akupigie danadana 5 tu uone kama anaweza. Kale kajamaa kanacheza na furza, yaani anajuwa kucheza na akili za watanzania wampao ujiko.Amemwahidi atafanya makubwa zaidi ya leo.Anaamini yeye eti ndiye kachangia goli la leo kwa busu alilotoa.
Unaweza kuta huyu msukule anaimani potofu kuhusu hali yake kwa kudhani huwa ina ka baraka fulani.Ukweli Fei Toto ni mchezaji mzuri tu bila hata Manara.Asianze kutaka kutwaa sifa za bure kama alivyozibeba kichwani mwake sifa za Simba akijidanganya yeye ndiye alikuwa kila kitu.
Amemwahidi atafanya makubwa zaidi ya leo.Anaamini yeye eti ndiye kachangia goli la leo kwa busu alilotoa.
Unaweza kuta huyu msukule anaimani potofu kuhusu hali yake kwa kudhani huwa ina ka baraka fulani.Ukweli Fei Toto ni mchezaji mzuri tu bila hata Manara.Asianze kutaka kutwaa sifa za bure kama alivyozibeba kichwani mwake sifa za Simba akijidanganya yeye ndiye alikuwa kila kitu.
Subiri ngao ya jamii tuwafunge ,ligi tuqapige nje ndani na ubingwa wasipate ,Kama atabaki jangwani ,lazima wamfukuze kwamba ni mamlukiAsije kusababisha wale jamaa wakaanza kuwawinda wale wa aina yake!
Nasikia hata Mpili ni baraka zakeAmemwahidi atafanya makubwa zaidi ya leo.Anaamini yeye eti ndiye kachangia goli la leo kwa busu alilotoa.
Unaweza kuta huyu msukule anaimani potofu kuhusu hali yake kwa kudhani huwa ina ka baraka fulani.Ukweli Fei Toto ni mchezaji mzuri tu bila hata Manara.Asianze kutaka kutwaa sifa za bure kama alivyozibeba kichwani mwake sifa za Simba akijidanganya yeye ndiye alikuwa kila kitu.
Kaisambaratishaje sasa wakati aliondoka analia kama mtoto wa kike?Manara kaweka historia nzuri sana kuzaliwa yanga kalelewa na kukuzwa yanga, ni mwanayanga wa kuzaliwa sio kishabiki huko simba kilimpeleka kazi maalum tu ambayo kwa kiasi hakufanikiwa kuisambaratisha...
umejitahidi mimi nilipofikia nafasi ya hamsini nikachoka kumbe wapo 70CAF Official Clubs Ranking (5-year ranking)
Viwango vya club mwa miaka 5
1. Al Ahly [emoji1093]
2. EspΓ©rance [emoji1249]
3. Wydad Casablanca [emoji1173]
4. Raja Casablanca [emoji1173]
5. Zamalek [emoji1093]
6. Mamelodi Sundowns [emoji1221]
7. TP Mazembe [emoji1078]
8. RS Berkane [emoji1173]
9. Horoya [emoji1119]
10. Etoile Sahel [emoji1249]
11. Pyramids [emoji1093]
12. Simba [emoji1241]
13. AS Vita [emoji1078]
14. Kaizer Chiefs [emoji1221]
15. Enyimba [emoji1184]
16. JS Kabylie [emoji1026]
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
ππππππ πππ πππππ ππππ
17. Al Hilal [emoji1232]
18. CS Sfaxien [emoji1249]
19. MC Alger [emoji1026]
20. Hassania Agadir [emoji1173]
21. 1Β° de Agosto [emoji1029]
22. Orlando Pirates [emoji1221]
23. Coton Sport [emoji1062]
24. CR Belouizdad [emoji1026]
25. Al Masry [emoji1093]
26. ES Setif [emoji1026]
27. USM Alger [emoji1026]
28. Zesco United [emoji1268]
29. Nkana [emoji1268]
30. Zanaco [emoji1268]
31. El Nasr [emoji1149]
32. FC Platinum [emoji1269]
33. Rangers [emoji1184]
34. Al Merreikh [emoji1232]
35. JS Saoura [emoji1026]
36. Lobi Stars [emoji1184]
37. ASEC Mimosas [emoji1081]
38. KCCA FC [emoji1254]
39. DJoliba [emoji1159]
40. Teungueth [emoji1211]
πππππππππ
41
42
43
44
45
46
47
48
49
50
ππππ πππππππ ππππ πππππ
51
52
53
54
55
56
57
58
59
60
πππππππ ππππππππππππ ππππππ
61
62
63
64
65
66
67
68
69
ππππππ ππππ ππ??[emoji849][emoji849]
70. Young Africans [emoji1241]