Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Aliyewahi kuwa Afisa Habari wa klabu ya Simba na Yanga SC, Haji Manara amesema kuwa kuwa anafurahishwa sana na uwezo wa Afisa habari wa Simba, Ahmed Ally, kwa namna ambavyo anajua siasa za mpira lakini amempiga spana kuwa tatizo hana nyota.
Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Manara ameandika "Nimpongeze sana huyu dogo ni Msemaji mzuri hasa katika eneo la kuchekesha na uchale,eneo muhimu kwenye Siasa za Mpira wa kitanzania. Ni Comediana hasa !!
Lakini hana nyota maskini, hajui ladha ya furaha ya kudumu,ana miaka kadhaa kwa Makolo hajui hata utamu wa Ubingwa, iwe wa Ligi au hata wa Kombe la Shirikisho, Na mara nyingi anaondoka namna hii kila derby.
Kwangu anayo nafasi ya kutoa hilo gundu la kisununu, ni kwenda kijijini kwao alipozaliwa kisha kwenda hata Mtoni akaoge kisha Wazee kijijini wampakaze mavumba ya kiasili. Nawahakikishia mwaka 2030 atashinda walau kikombe kimoja"