Manara ajengewe sanamu

Wadau mnaonaje Haji Manara akajengewa sanamu kutokana na mchango wake mkubwa aliotoa kwenye Taifa kuwa msemaji Bora Duniani Hadi FIFA wameandika hajawai tokea msemaji Kama huyu tangu dunia ianzishwe

Sent using Jamii Forums mobile app
. Hakika Mropokaj kama huyu hajawai tokea dunian. Ajengewe sanam kubwe lenye mdomo mpanaa likiwa juu ya zile khamsa khamsa za As Vita, Al ahali na Servilla Fc
 
Of course he deserve that......

Sent using Redmi Note 7 Pro
 
Wadau mnaonaje Haji Manara akajengewa sanamu kutokana na mchango wake mkubwa aliotoa kwenye Taifa kuwa msemaji Bora Duniani Hadi FIFA wameandika hajawai tokea msemaji Kama huyu tangu dunia ianzishwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana nawe hajawahi kutokea msemaji Kama huyu duniani ambaye ni mropokaji nambari wani na anayekazana kusambaza uzushi dhidi ya wapinzani wakati wa ligi na mamlaka za mpira bila kuchukuliwa hatua dhidi yake..
 
Jamani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…