Anapenda kutania/kudhalilisha wengine akifanyiwa yeye atalia mwaka mzima!ingawa watu wanajifanya hawauoni mchango wa bwana haji ila ukweli wanaujua.huyu bwana analeta amsha amsha na ladha na maana halisi ya utani katika soka letu.kwangu mtazamo wangu huyu na muro ni wasemaji bora kabisa kuwahi kutokea
Anajua utani wa kukimbilia tff na kushitaki kwa Rais wa nchi, Waziri mkuu na Waziri wa TAMISEMI?ingawa watu wanajifanya hawauoni mchango wa bwana haji ila ukweli wanaujua.huyu bwana analeta amsha amsha na ladha na maana halisi ya utani katika soka letu.kwangu mtazamo wangu huyu na muro ni wasemaji bora kabisa kuwahi kutokea
Ziko mkiani.Akili za mikia buana
😂😂😂Ziko mkiani.
hiyo sanamu kama hawajapata mtu wa kumjengea ni bora tu ajengewe Ambilikile Mwasapile anastahili zaidi kuliko huyo msema hovyo
si masihara Ambilikile kaitangaza sana Tanzania, Manara bado sana
Fifa wameandika wapi?Wadau mnaonaje Haji Manara akajengewa sanamu kutokana na mchango wake mkubwa aliotoa kwenye Taifa kuwa msemaji Bora Duniani Hadi FIFA wameandika hajawai tokea msemaji Kama huyu tangu dunia ianzishwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakwambia wakati ana comment alikuwa Tungi Tena alikunywa Ile gongo la majitaka ya choeni
Mkuu OKW BOBAN SUNZU sasaiv haters wanasemaje?[emoji39]Haters wameanza kuingia kwenye uzi