Manara amcharukia Zahera

Manara amcharukia Zahera

HPAUL

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2011
Posts
410
Reaction score
567
Simba kupitia kwa afisa habari wake Haji manara umepanga kumshitaki kocha wa Yanga Zahera Mwinyi.

Haji Manara ameandika Ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa Instagram

Kwa hili Zahera hatutakubali!!
Lazma uthibitishe beyond reasonable doubt kwamba Mwenyekiti wetu wa Bodi ya Wakurugenzi alishiriki kuwahujumu Yanga Kwenye mchezo wetu na nyie!!
Kocha usiye na heshma na unaeropokwa kila siku ili utafute kiki kwa Washabiki wa Yanga!! Lazma ujue MO ni mtu mwenye heshma kubwa ktk jamii na kumhusisha na vtu vya hovyo hovyo ,Simba haitakaa kimya ( no matter TFF hawakukemei hata siku moja)
Halaf unamtaja Canavaro ili umdhalilishe,yy ndio captain bora wa muda wote Yanga kafanya mambo makubwa pale na kashinda mataji mengi mno wakati ww hata kikombe cha Uji hujashinda hapo,nia ni kutaka uwe bora kuliko uliowakuta na ambao wamefanya mambo mengi pale!!!tumekuvumilia sasa imetosha,huwezi kila siku ukaituhumu klabu yetu halaf tukukalie kimya!! Sasa utaijua ukubwa wa Simba,labda ulikuwa ukiisikia tu
Kesi hii nimeinunua kama Mkuu wa Habari wa Simba!!
Nikirudi nna ww ulete uthibitisho either TFF au Kwenye vyombo vya dola!!
Mpira hauwezi kuchezewa na watu wasiojielewa na kupayuka yuka
 
Mpayukaji anamshutumu Zahera kwa kupayuka.

😀😀😀 Eti Mo ni mtu mkubwa, akiwa gykhana ni mdogo kama piriton
 
Nenda mahakamani wakina Mwashiuya waje kutoa ushahidi mlivyowapa milioni kumi wawafunge Yanga na Yule refa wa leo na KMC atakuja I. . . Cannavaro alivyouza mechi na Simba. . YONDANI anahusika 100%.. Bocco hawezi kumpita kirahisi vile YONDANI asicheze rafu. .
 
Na bado.. uchaguzi huo umefika.
 
Nenda mahakamani wakina Mwashiuya waje kutoa ushahidi mlivyowapa milioni kumi wawafunge Yanga na Yule refa wa leo na KMC atakuja I. . . Cannavaro alivyouza mechi na Simba. . YONDANI anahusika 100%.. Bocco hawezi kumpita kirahisi vile YONDANI asicheze rafu. .
kuna tatizo gani wakina mwashiuya kupewa pesa waifunge Yanga na kama mnajua Yondani alipewa pesa si mmfukuze kwanini mnalea virusi waarabu, As Vita wote wamepigwa taifa nyie ndio nani
 
NA BADO SANA MANA SISI WENZENU TULIENDA MPK FIFA JIANDAENI NA NYNY MUENDE
Nenda mahakamani wakina Mwashiuya waje kutoa ushahidi mlivyowapa milioni kumi wawafunge Yanga na Yule refa wa leo na KMC atakuja I. . . Cannavaro alivyouza mechi na Simba. . YONDANI anahusika 100%.. Bocco hawezi kumpita kirahisi vile YONDANI asicheze rafu. .
 
Ni punguani tu anayeweza kumsikiliza Haji Manara
 
Nenda mahakamani wakina Mwashiuya waje kutoa ushahidi mlivyowapa milioni kumi wawafunge Yanga na Yule refa wa leo na KMC atakuja I. . . Cannavaro alivyouza mechi na Simba. . YONDANI anahusika 100%.. Bocco hawezi kumpita kirahisi vile YONDANI asicheze rafu. .
Aisee kama hii Ripoti ni ya kweli tuna Safari ndefu ya mafanikio katika soka la tanzania
 
Back
Top Bottom