Sasa utawafanya watu waogope kuchangia maoni yao kwa wasiwasi wa mapovu ya utoNgoja wenye team yao waje wakutolee povu
Timu haikupewa chumba cha kubadilishia nguo, hivyo ile sehemu ya uwanja ya kamati ya ufundi ndio ilitumika kama chumba cha kubadilishia nguo.Jana video imeonekana game ikikaribia kuanza Manara kakaa kwenye benchi la ufundi anaelekeza wachezaji kwa jazba nyingi hadi jasho...
Mechi ya Simba ilipokuwa inaendelea hao waganga walikaa benchi ipi maana sikuwaonaTimu haikupewa chumba cha kubadilishia nguo, hivyo ile sehemu ya uwanja ya kamati ya ufundi ndio ilitumika kama chumba cha kubadilishia nguo. Haji alikuwa ananalamika kuhusu kitendo cha utovu wa nidhamu kilichofanywa na timu pinzani. Wakati haya yakitokea Nigeria, nyumbani huku Mpoki alisema Simba kwa sasa ina waganga walioiva haswa katika bench la ufundi.
Sasa utawafanya watu waogope kuchangia maoni yao kwa wasiwasi wa mapovu ya uto
Tunakoelekea sasa hata Sisi tunaopoteza muda Wetu adhimu Kumjadili Mwendawazimu huyu wa Yanga SC tutaonekana ni Wendawazimu kama Yeye.Jana video imeonekana game ikikaribia kuanza Manara kakaa kwenye benchi la ufundi anaelekeza wachezaji kwa jazba nyingi hadi jasho...
Jana video imeonekana game ikikaribia kuanza Manara kakaa kwenye benchi la ufundi anaelekeza wachezaji kwa jazba nyingi hadi jasho.
Sijawahi kuona huo utaratibu hata kwenye Ndondo Cup,amewatia wachezaji hamasa kubwa ,Kuna wadau wameanza kusema Manara apewe mikoba ya Nabi.
Mi naona anafaa nye mna maoni gani .
NB:Tunashukuru kwa ushiriki wa kimataifa ila mtuambie mmeongeza points ngapi CAF ili Tanzania tujiwekee nafasi nzuri zaidi kupeleka timu 4 tena mwakani?
Manara anawahujumu utopoloJana video imeonekana game ikikaribia kuanza Manara kakaa kwenye benchi la ufundi anaelekeza wachezaji kwa jazba nyingi hadi jasho.
Sijawahi kuona huo utaratibu hata kwenye Ndondo Cup,amewatia wachezaji hamasa kubwa ,Kuna wadau wameanza kusema Manara apewe mikoba ya Nabi.
Mi naona anafaa nye mna maoni gani .
NB:Tunashukuru kwa ushiriki wa kimataifa ila mtuambie mmeongeza points ngapi CAF ili Tanzania tujiwekee nafasi nzuri zaidi kupeleka timu 4 tena mwakani?
Huyu hapa,walimtoa nduki wenzake View attachment 1946338
Dah jamaa hajui mipaka yakeHuyu hapa,walimtoa nduki wenzake View attachment 1946338