The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Akihojiwa na mtandao mmoja wa kijamii Haji Manara amesema alimsikia mwanasheria mmoja akilalamika kwamba watanzania ukiwaambia waandamane kupigania haki zao huwapati ila ukiwaambia washabikie Simba na Yanga hapo utawapata.
Kwa maoni yake bwana Manara ni kwamba kwa Tanzania mpira ni kila kitu na hilo ni jambo la kujivunia!!
Kwa maoni yake bwana Manara ni kwamba kwa Tanzania mpira ni kila kitu na hilo ni jambo la kujivunia!!