The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Wasitulazimishe wote tuwe wanasiasa. Wanasiasa wenyewe wa nchi hii wote waongo na njaa tu.Akihojiwa na mtandao mmoja wa kijamii Haji Manara amesema alimsikia mwanasheria mmoja akilalamika kwamba watanzania ukiwaambia waandamane kupigania haki zao huwapati ila ukiwaambia washabikie simba na yanga hapo utawapata.
Kwa maoni yake bwana Manara ni kwamba kwa Tanzania mpira ni kila kitu na hilo ni jambo la kujivunia!!
Kwa hiyo wewe sio mwanasiasa?Wasitulazimishe wote tuwe wanasiasa. Wanasiasa wenyewe wa nchi hii wote waongo na njaa tu.
Tangu nivunjwe mkono kumpigania Msigwa awe mbunge Iringa Mjini na jamaa akahamia ccm siyaamini trna haya manyangau.
Wangekuwa serious nasi tungekuwa serious nao ila wao ni kwa ajili ya matumbo yao tu. Wacha tushangilie Kayoko FC wanaotutesa japo tunawapenda.
Watanzania hata wakinyanganywa haki zao hawajui kama wameporwa haki zao so wanakushangaa ukiwambia wakadai hizo haki...Akihojiwa na mtandao mmoja wa kijamii Haji Manara amesema alimsikia mwanasheria mmoja akilalamika kwamba watanzania ukiwaambia waandamane kupigania haki zao huwapati ila ukiwaambia washabikie simba na yanga hapo utawapata.
Kwa maoni yake bwana Manara ni kwamba kwa Tanzania mpira ni kila kitu na hilo ni jambo la kujivunia!!
Akihojiwa na mtandao mmoja wa kijamii Haji Manara amesema alimsikia mwanasheria mmoja akilalamika kwamba watanzania ukiwaambia waandamane kupigania haki zao huwapati ila ukiwaambia washabikie simba na yanga hapo utawapata.
Kwa maoni yake bwana Manara ni kwamba kwa Tanzania mpira ni kila kitu na hilo ni jambo la kujivunia!!
Na hata hapa utakuta kuna watu watampinga Manara kwa sababu tu aliihama timu yaompira ume brain wash watanzania wengi sana
Kuna baadhi ya viongozi hapa nchini wanajisahau kutaka kufanya kila kitu kiwe siasa lakini watambue kila mtanzania anamaisha ya kuchagua kipi akishabikie. na yeye si wa kwanza hata Godbless Lema aliwahi kutoa kauli kutaka Yanga na Simba zife ni upuuzi mtupu tu. Watengeneze hoja zao na sio kutaka mpira wa miguu wa Simba na Yanga zisiwepoAkihojiwa na mtandao mmoja wa kijamii Haji Manara amesema alimsikia mwanasheria mmoja akilalamika kwamba watanzania ukiwaambia waandamane kupigania haki zao huwapati ila ukiwaambia washabikie Simba na Yanga hapo utawapata.
Kwa maoni yake bwana Manara ni kwamba kwa Tanzania mpira ni kila kitu na hilo ni jambo la kujivunia!!
Elimu yetu ndipo ilipotufikishaKuna baadhi ya viongozi hapa nchini wanajisahau kutaka kufanya kila kitu kiwe siasa lakini watambue kila mtanzania anamaisha ya kuchagua kipi akishabikie. na yeye si wa kwanza hata Godbless Lema aliwahi kutoa kauli kutaka Yanga na Simba zife ni upuuzi mtupu tu. Watengeneze hoja zao na sio kutaka mpira wa miguu wa Simba na Yanga zisiwepo
Pole sana mkuu, ulikuwa unampigania msigwa awe mbunge au CHADEMA?Wasitulazimishe wote tuwe wanasiasa. Wanasiasa wenyewe wa nchi hii wote waongo na njaa tu.
Tangu nivunjwe mkono kumpigania Msigwa awe mbunge Iringa Mjini na jamaa akahamia ccm siyaamini trna haya manyangau.
Wangekuwa serious nasi tungekuwa serious nao ila wao ni kwa ajili ya matumbo yao tu. Wacha tushangilie Kayoko FC wanaotutesa japo tunawapenda.
Ndiyo maana Mbowe àliàñdamana peke yake, mkamtosa na Chadema yake.Pole sana mkuu, ulikuwa unampigania msigwa awe mbunge au CHADEMA?
We hukutoka?Ndiyo maana Mbowe àliàñdamana peke yake, mkamtosa na Chadema yake.
Kinachoendelea kenya ni vichekesho, taifa la hovyo kabisaKwa Afrika Mashariki, Kenya ndo nchi yenye watu wanaojitambua. Pale kwa majirani zetu utafikiri raia wake wote ni residents wa Mirembe.
Kivipi sasaKinachoendelea kenya ni vichekesho, taifa la hovyo kabisa
Big Up...Watanzania hata wakinyanganywa haki zao hawajui kama wameporwa haki zao so wanakushangaa ukiwambia wakadai hizo haki...
Sasa sijui ni elimu, ujinga au uoga
Ni Katiba.Mihimili inatambua Katiba na kuiheshimu.Kinachoendelea kenya ni vichekesho, taifa la hovyo kabisa
Nchi yetu haiendeshwi kwa jeuri na nongwaNi Katiba.Mihimili inatambua Katiba na kuiheshimu.
Nyie Bunge lenu lina jeuri ya kumtoa PM na bado akaenda kulalamika Mahakamani, Kisha Mahakama ya Tz ikatamka Serikali (akiwemo Presdaaa) ameyatimba? Mahakama zenu zina hiyo jeuri?
Kenge Manara!Akihojiwa na mtandao mmoja wa kijamii Haji Manara amesema alimsikia mwanasheria mmoja akilalamika kwamba watanzania ukiwaambia waandamane kupigania haki zao huwapati ila ukiwaambia washabikie Simba na Yanga hapo utawapata.
Kwa maoni yake bwana Manara ni kwamba kwa Tanzania mpira ni kila kitu na hilo ni jambo la kujivunia!!