Nashukuru Mungu kwamba Manara amejiunga a wapiga soga wenzake, wao hucheza sana mpira kwa mdomo, Simba tunafanya kwa vitendo, Hatufuati mkumbo!
Ni Yanga hawa msimu uliopita waliajiapiza ni lazima watatwaa kombe baada ya kusajili akina Balinya na Molinga! Wakaenda mbali zaidi hata mdhamini wao GSM kuwaapia mashabiki kuwa Yanga isipotwaa ubingwa 2020/2021 wasiwalaum wachezaji bali wailaum GSM, leo yako wapi???
Ni Yaga hao wametoka hapa majuzijuzi kwa tamo kiao kuwa waaeda Moroco kusaka makali, lakii ghafla wamerudi ogo na kuanza kudai eti kami ya Moroco haikuwasaidia kiufundi! ajiuliza hivi benchi la ufundi la timu hiyo si ndio walipendekeza timu iende huko??? Sasa msimu ujao wanashiriki ligi ya mabingwa je maneno maneno haya ni kweli yatawavusha? Natoa wito kwa Yanga kubadilika, vinginevyo watavuna aibu, mpira sio maneno, mpira ni vitendo!