Manara ateuliwa tena kuwa Msemaji Rasmi wa Klabu ya Simba

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba imemteua Haji Manara kuwa msemaji rasmi wa klabu hiyo.

"Asanteni Sana Wanasimba wote hususan Bodi ya Wakurugenzi chini ya Mwenyekiti wetu Mohammed Dewji,lakini kubwa kwa CEO wetu mpya Mr Senzo kwa kuendelea kuniamini kufanya kazi katika Klabu hii kama Msemaji wao rasmi, Insha'Allah ntaendelea kufanya kazi hapa kwa spirit ile ile” ameandika Haji Manara mtandaoni.
 
Afisa habari anakuwa na professional ya kile anachokifanya ila msemaji ni mtu yeyote ambaye anaweza kuongea mfano: Man fongo, Msaga Sumu na wengine.

Afisa habari anafanya kazi kuzingatia taaluma na weledi. Msemaji huyu ni kubwabwaja tu.
hahhahahaaa
 
Kwahiyo Manara ni professional?!
 
Afisa habari anakuwa na professional ya kile anachokifanya ila msemaji ni mtu yeyote ambaye anaweza kuongea mfano: Man fongo, Msaga Sumu na wengine.

Afisa habari anafanya kazi kuzingatia taaluma na weledi. Msemaji huyu ni kubwabwaja tu.
Man Fongo.
 
Wameshindwa kusoma nyakati hao,bado wanamini kwenye kubwabwa kuliko u- professionalism ?
 
Afisa habari anakuwa na professional ya kile anachokifanya ila msemaji ni mtu yeyote ambaye anaweza kuongea mfano: Man fongo, Msaga Sumu na wengine.

Afisa habari anafanya kazi kuzingatia taaluma na weledi. Msemaji huyu ni kubwabwaja tu.
Au bi Hindu. Bahati nzuri, vyeti sio muhimu kwa 5imba
 
Huyu ni msemaji au msemeaji????
 
Afisa habari anakuwa na professional ya kile anachokifanya ila msemaji ni mtu yeyote ambaye anaweza kuongea mfano: Man fongo, Msaga Sumu na wengine.

Afisa habari anafanya kazi kuzingatia taaluma na weledi. Msemaji huyu ni kubwabwaja tu.

Hapo sawa.

Kwahiyo msemaji ni mtu asiye na taaluma yeyote, kazi yake ni kuongeangea utumbo tu.

Mfano
"Mikia hii hata Man City au Barca wakija tutawafunga tu",

"Kikosi chetu ni cha bilioni 3".

"Mbumbumvu hii tusipofika robo fainali ya Club bingwa Africa Mnitupe mtoni niliwe na Mamba"
 
Naam! Msemaji kazi yake ni kusema sema pasipo misingi ya uwasilishaji habari. Ila afisa habari anazungumza kwa kufuata misingi yake ya kitaalamu.

Afisa habari anakuwa na professional ya kile anachokifanya ila msemaji ni mtu yeyote ambaye anaweza kuongea mfano: Man fongo, Msaga Sumu na wengine.

Afisa habari anafanya kazi kuzingatia taaluma na weledi. Msemaji huyu ni kubwabwaja tu.
Au Mbwiga mbweguke anaweza naye kuwa msemaji WA timu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…