Na mimi sijaelewe..maana habari ilikuwa ya manara ghafla inakuja ya mayeleSijaelewa kitu hapo
Mkuu ukielewa usisahau kunielewesha!Sijaelewa kitu hapo
Ipo hivi mara ya kwanza zilisambaa picha za mayele akiwa na uwoya wakiwa ktk gari na mapozinyanayoonesha dalili kuwa wapo in relation,ndio washabiki wengi wa yanga na wengineo wakaanza kumponda mayele kupitia mitandao ya kijamii .Sijaelewa kitu hapo
Hata sielewi una ongea vitu gani!Kwani umekasirika Ashura cheupe kukatwa na wajumbe?
Sasa ulikwama wapi kueleza hivi kwenye taarifa yako ya awali.?Ipo hivi mara ya kwanza zilisambaa picha za mayele akiwa na uwoya wakiwa ktk gari na mapozinyanayoonesha dalili kuwa wapo in relation,ndio washabiki wengi wa yanga na wengineo wakaanza kumponda mayele kupitia mitandao ya kijamii .
Tena wakihusisha kutokufunga kwake magoli katika mechi kadhaa na haya mahusiano mapya ya kimapenzi na bibi huyo mwenye çonnection yake mjini[emoji23][emoji23][emoji23]..
Sasa manara amekuja kuwachamba mashabiki hao kuwa zile picha zilikuwa ni matangazo ya gsm na hata kama ingekuwa kweli hayo ni maisha yake binafsi wasiiingiliie ambao nao wamemjia juu ktk instagram yake kuwa anatema povu kwakuwa amechenjuliwa na wajumbe.......sijui nimeeleweka duhhhh
Mkuu embu kunywa maji kwanza, tuliza kichwa. Kwani huyu ndiye mleta uzi? Huyu katusaidia tu kutoa ufafanuzi.Sasa ulikwama wapi kueleza hivi kwenye taarifa yako ya awali.?
Mtuwekee na nyama kidogo . Hapa metuletea mifupa mitupu.Hivi kwa mfano ndio ingekuwa kweli shida ni nini?
Hivi Wabongo nani katuroga? Kutwa kuhangaika na maisha ya Watu!!
Mlitegemea Mayele afanye tangazo na Anna kwapa Nene au Shani Nyamichupi?
Mnajisikiaje baada ya kupata ukweli? Kuku nyie !!
@mayelefiston @ireneuwoya8
@gsmmall @maxfashion_tz @gsmtanzania.
View attachment 2439588
Unanilazimisha nielewe vitu havina maana?Sasa UTOPOLO WOTE SI HAWANA AKILI utaelewaje unafikiri?????