Manara: Gongowazi ni watoa rushwa walifungiwa na CAF 1983 kwa rushwa kwa waamuzi

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Yes hii ni kwa wale wasiojua, utopolo 1983 walijaribu kuwahonga waamuzi wahabeshi wakaripotiwa CAf na kukutan ana rungu zito la kufungiwa, ni rekodi ya kipekee ambayo hawa jamaa hadi leo wanaishikilia.

Jisomee mwenyewe hekima za msemaji wa team hiyo akikumbushia jinsi team yake ilivyoweka historia muhimu.

Duh.....! Wafuga ng'ombe wetu Kweli ni Wazee wa ' Historia'
Hatari marehemu Issa makongoro aliyekuwa katibu wa Gongowazi na yule mwekahazina wake walitoa 30,000 ya kitanzania nasikia wakati huo mwaka 1983 ilikuwa nyingi sana kuwahonga marefa kutoka Ethiopia ili wawapendelee mechi na Gor mahia......
Utopolo wana historia za kipekee sana kwa kweli uzuri hata msemaji wao kawa muungwana kutukumbushia
 
Attachments

  • 1648038552656.mp4
    1 MB
Ulipona ule ugonjwa wako ambao sometime unafakunya uwe na stress kama malaya mjamzito au mtu aliyehasiwa?
uko nje ya topic....anzishia uzi kuhusu ujazuzito hapa tunamzungumzia marehemu Issa makongoro aliyefungiwa maisha na CAf na utopolo kufungiwa kwa miaka 3 na CAf ..ama kwa hakika ni historia iliyotukuka asante semaji la utopwinyo kwa kutukumbusha historia hii mujarabu kabisa
ISSA MAKONGORO KATIBU WA UTOPOLO MWAKA HUO NA MWEKA HAZINA JULIUS RUTAINULWA WALIWEKA HISTORIA KUBWA KABISA
 
Ulipona ule ugonjwa wako ambao sometime unafakunya uwe na stress kama malaya mjamzito au mtu aliyehasiwa?
huu ndio upuuzi wa baadhi ya wenzetu. sijui ni uzuzu au ushamba au ukosevu wa akili. mambo ya Jukwaa la Siasa, MMU unayaleta huku. Vipi wewe mambo ya kitandani kwa mama yako ikiwa tunayajua tunalete huku?
 
Albino ana wapambe wa kutosha huku wanatamani waseme hii ni fake news bahati mbaya huwa haizungumzwi sana na makanjanja lakini haya majamaaa yako kwenye rekodi za CAF kutoa rushwa kwa waamuzi na kufungiwa
 
Ni kawaida sana kwani Yanga kimataifa haina issue, ni timu ya kizembe sana. Uchawi wao ni wa hapa hapa tu, wenzao wanakuwa na talent wao wanakuwa na uchawi na ndiyo maana hawafiki mbali.
 
Ni kawaida sana kwani Yanga kimataifa haina issue, ni timu ya kizembe sana. Uchawi wao ni wa hapa hapa tu, wenzao wanakuwa na talent wao wanakuwa na uchawi na ndiyo maana hawafiki mbali.
unaikumbuka hii ? bada aya hapo wakadai muunganiko haukuwa sawa baada ya kupigwa nje ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…