Manara, kama huwezi utani, usitanie wenzako

Manara akili hana kuitwa msukule ndo unapanic?!...lipi tusi kati ya kuitwa msukule na albino?!..jerry angetumia ofisi ya dc kila mtu angemshangaa lkn ametumia "footbal platform"..na ktk mpira hakuna cha ajabu alichoongea

Mbaya zaidi utani wa mpira unachanganya na udini?! ningependa kujua elimu ya manara coz anaonekan ni boguz kabsa..na anadhani watanzania wote ni maboguz km yy...unaita press kuongea ujinga mtupu pumbaf sn!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…