Manara, kama unataka kuondoka nenda tu, lakini usitoe siri zetu

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Ni hivyo tu, ya huku yaache huku, madaraka yasikutoe ubinadamu na utu, huyo uliyemtuma ajifanye anajua kurekodi tunamjua.

Cheo kisikutoe utu, na ulipewa ukakikataa
 
Yanga hii unauifungajeee....
20240803_152116.jpg
 
Ni hivyo tu, ya huku yaache huku, madaraka yasikutoe ubinadamu na utu, huyo uliyemtuma ajifanye anajua kurekodi tunamjua.

Cheo kisikutoe utu, na ulipewa ukakikataa
Yaani mwaka huu bado hamjasema bado😂
 
Gharama za kufungwa bado zinawatafuna ....
 
Back
Top Bottom