Manara: Mchezo ya Simba na Yanga, uchezeshwe na Refa kutoka nje ya Nchi

Manara: Mchezo ya Simba na Yanga, uchezeshwe na Refa kutoka nje ya Nchi

eddy brown

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
414
Reaction score
314
Kwa taarifa yako Manara ni kua kutaka mechi ya Yanga na Simba ichezeshwe na huyo refa wa nje umechemka kwani makomandoo wakitaka wanapanda nae ndege na kukaa pembeni yake kwenye ndege na kumaliza mchezo hapo hapo

Kwani baada ya mechi huyoo air port, bora wa hapa ataogopa kulala kwake wiki nzima. Dawa msije tu uanjani mshuke daraja.

MSIPENDE UJINGA.
 
Back
Top Bottom