Kwa taarifa yako Manara ni kua kutaka mechi ya Yanga na Simba ichezeshwe na huyo refa wa nje umechemka kwani makomandoo wakitaka wanapanda nae ndege na kukaa pembeni yake kwenye ndege na kumaliza mchezo hapo hapo
Kwani baada ya mechi huyoo air port, bora wa hapa ataogopa kulala kwake wiki nzima. Dawa msije tu uanjani mshuke daraja.
MSIPENDE UJINGA.