Manara na Ahmed wanashindana wao kwa wao. Hii inaleta picha gani?

lutajangurwa

Senior Member
Joined
Sep 21, 2019
Posts
126
Reaction score
172
Hivi job description ya msemaji wa timu ya mpira ni ipi? Mi nashangaa badala ya kujikita na mambo ya maana, wanadili na mambo petty petty. Huu ni upuuzi. Hebu badilikeni muanze kutupa habari za maana zinazohusu vilabu vyenu.
 
Surely kazi wanazofanya sasa ni saizi ya mzee Mpili na watu kama Bongo Zozo
 
Ahmed Ally kila siku ni kukata viuno tu mtaani kwa kigezo cha hamasa
 
Kuwa makini na kuattack uumbaji wa Mwenyezi Mungu
Hivi kwanini mnapenda sana kuwanyima watu uhuru kwa kauli zenu hizi za mikwara,??acheni kuogopesha watu,yeye mwenyewe ndio bingwa wa kuwatania wengine ila akiguswa yeye mnaleta haya maneno yenu ya kujilinda.....


Leo ninyi utopolo ndio munajua hili la dhihaka juu ya uumbaji?kwanza sijaona mtu aliyemdhihaki Mungu kwa kazi yake ila watu wanadeal na binadamu wa utopolo ,sasa msituchonganishe na Mungu....





Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…