Manara na Ruby Fresh ndoa chaliiii

reymage

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2021
Posts
12,203
Reaction score
28,789
Kaahh..hata kama ni talaka ruhusa kidini ila Haji ni too much ...mweeee...
Story za mitandaoni Haji na kashampiga talaka Tatu bi Ruby aka mama Ghalib talaka taaatu shwaaa....bila marudio ka eda itaisha...!!

Yaani Haji Kwa Sasa apewe tuzo kama kina dida za talaka,haiwezekani wao Kila Mwaka Wanaoa na kuachika mwee...hata kama mapungufu ya wenza wao Kwa hili hapana
Haji ana kitu atafika nacho mbaali mnooo..
Mwaka juzi alioa shemeji WA Aweso,akamuacha,Mwaka Jana kaoa ruby ,akaoa Tena rushayna (akachambwa dada WA watu akaonekana alifata umaarufu Kwa haji)na Rubina Ndo alikua anamtetea mmewe balaaa na yeye amejifungua TU Ndoa imemshinda kaachika,kikanuni za kibinadamu ni ngumu Sana kukuta mwanaume ameoa na kuacha mara nyingi na ikiwa hvyo baasi me ana shida
Ruby anauza zake shisha tabataaaa.....

Ila Kwa Wadada Wa bongo utashangaa mwingine next week nae aenda olewa na haji huyo huyo hvyooo!!!hajiulize wenziwe watano wameshindwa ye atajifanya konki ataolewa...

Ila wanaume Wa Dar mna kitu mtafuka mbaali!
 
Uislam raha, ukizengua shweee. Unavuta kingine.
 
[emoji23][emoji23]aiseh!
Haji atakua na shida sehemu si bure,yeye kila siku ni kuoa na kuacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…