Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Aidha Manara amesema anaheshima alichokisema Rais wa Klabu hiyo Eng Hersi Said wakati akifanyiwa Mahojiano na Wasafi FM siku 2 zilizopita na kusema Haji Manara si Msemaji wa Timu bali Ali Kamwe ndiye Msemaji na kusema Manara atapangiwa majukumu mengine ndani ya Yanga SC.
Soma Pia: Eng. Hersi: Haji Manara sio Msemaji wa Yanga, tunaangalia majukumu mapya ya kumpa