Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Ameshamalizana na MO so wamekubaliana anarudi SimbaSasa unadhani ataenda wapi!? Timu ni mbili tu hap nchini na simba hawataki gata kumsikia, labda apate ofa ya azam, ama timu ndogo, lakini huko hatosikika, atatambia wapi?
Amekuwa na hekimaHaji Manara amesema yupo tayari kufanya kazi ndani ya Yanga hata ikiwa kazi ya ufagiaji na kamwe siwezi kuwa mnyonge kukosa usemaji Yanga.
Aidha Manara amesema anaheshima alichokisema Rais wa Klabu hiyo Eng Hersi Said wakati akifanyiwa Mahojiano na Wasafi FM siku 2 zilizopita na kusema Haji Manara si Msemaji wa Timu bali Ali Kamwe ndiye Msemaji na kusema Manara atapangiwa majukumu mengine ndani ya Yanga SC.
Soma Pia: Eng. Hersi: Haji Manara sio Msemaji wa Yanga, tunaangalia majukumu mapya ya kumpa
Tumsamehe tu,masuala ya ajira hayajuiKwanini alijitangazia kurudi kwenye nafasi yake bila kupata clearance ya waaajiri wake?
Kwanini aseme yeye hana boss! Utafanyaje kazi ikiwa hutaki kuwa nchi ya mtu yeyote?