Beberu-mpya
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 216
- 106
Kifungo cha Muro kama sikoaei kitakuwa kinaisha/kimeisha mwezi huu. Ila mleta maada ataweza rudi kujazia nyamaMbona wenda mbio mkuu? Habari ya Muro haipo hapa?
DuhShirikisho la Soka nchini Tanzania limemkuta na Hatia Msemaji wa Clab ya Simba Haji Manara kwa kosa la kutoa Lugha Chafu kwa Mh. Rais pamoja na Baadhi ya Viongozi wa Shirikisho hilo ambapo alitoa lugha hiyo week hii J3 na Leo amehukumiwa jela ya kutojihusisha na Mpira ndani na Nje ya Tz kwa kipindi kisichozidi miezi 12 na Faini ya Tshs 9,000,000.
FA Couter fainal
Imechezeshwa leo pia na iko hivi
Simba Vs Azam
Mbao Vs Yanga
Duu kama haukosei,,,Kifungo cha Muro kama sikoaei kitakuwa kinaisha/kimeisha mwezi huu. Ila mleta maada ataweza rudi kujazia nyama