Manara: Sherehe ya Harusi itafanyika Benjamin Mkapa Stadium

Ndoa haitaki umaarufu anapoteza hela na kujishughulisha na mambo ya kitoto siku kadhaa wameachana.

Ndoa haitaki umaarufu na ujuaji ataoa sana[emoji23]
 
Ndoa haitaki umaarufu anapoteza hela na kujishughulisha na mambo ya kitoto siku kadhaa wameachana.

Ndoa haitaki umaarufu na ujuaji ataoa sana[emoji23]
Kwake ni biashara
Uzuri ikitokea akamalizana na huyu
Atamuokota mwingine huko nchi ya insta aendeleze naye mambo ya ndoa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…