Manara ukiwa muongo usiwe msahaulifu, teknolojia imekuumbua

Manara ukiwa muongo usiwe msahaulifu, teknolojia imekuumbua

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hata sisi wengine hatukuwa na imani na MO , na mimi nimeweka maandiko mengi sana humu kuhusu utapeli wa MO kwenye masuala ya Simba , nilikuwa Team Kilomoni (wanaofuatilia jf wanajua) , Lakini sijawahi kuisaliti Simba.

Hebu jiangalie kwenye video hizi halafu utueleze yaliyokukuta.

Kwakua hakuwahi kuwa na ajira pale Simba Sc (alikuwa ni kibarua), sio mbaya kukubali ajira kutoka upande wa pili.

Shabiki yoyote wa Simba Sc anaeona kwamba Manara kakosea,anatakiwa aje na suluhisho kwamba yeye angekuwa Manara angela's tu bila kazi ilihali hathaminiwi tena na SIMBA? Tuacheni unafiki, hakuna shabiki yoyote yule wa Simba Sc ambaye angemsaidia maisha Manara zaidi ya kelele tu za mitandaoni.

Mimi binafsi sina neno nae kabisa,acha ajitafutie ridhiki.
 
Buggati semaji la dunia karibu sana NYUMBANI.

Karibu mtunduizi wetu.....jezi zetu si UBAO WA MATANGAZO....Wala hutayaona maandishi koko mpaka chini ya mgongo......

#DaimaMbeleNyumaMwiko
#1935ForEver
tehe,,tehe,,haaa mtani umefurahi mwenyewe!

Kumbuka kujiandaa una mechi mbili kubwa muhimu,ngao ya hisani mtakayocheza na wataleban wa msimbazi na ya pili wadogo zao wakina JJ Okocha na Nwanko Kanu.
 
tehe,,tehe,,haaa mtani umefurahi mwenyewe!
Kumbuka kujiandaa una mechi mbili kubwa muhimu,ngao ya hisani mtakayocheza na wataleban wa msimbazi na ya pili wadogo zao wakina JJ Okocha na Nwanko Kanu.
Manara ameukumbusha uongozi wetu KUBADILIKA...kutokuwa na visingizio na bodi ya ligi na TFF....nina imani watayafanyia kazi kubwa.......

Tukutane ngao ya hisani mtani...💪
 
Waandishi wetu ndio huuliza maswali ya kibwege. Mlutaka Manara aseme ni shilingi ngapi zitampeleka Yanga, na kipindi hicho alikuwa akiaminiwa na moyo wa kila mwana Simba.
 
Hata sisi wengine hatukuwa na imani na MO , na mimi nimeweka maandiko mengi sana humu kuhusu utapeli wa MO kwenye masuala ya Simba , nilikuwa Team Kilomoni (wanaofuatilia jf wanajua) , Lakini sijawahi kuisaliti Simba.

Hebu jiangalie kwenye video hizi halafu utueleze yaliyokukuta.

View attachment 1906794

View attachment 1906795
umeongea ukweli mara nyingi kuna maamuzi yanafanywa na viongozi wa vilabu vyetu lakini hatujawahi kufikiria kuhama Simba huyu hakuwa Simba alikuja kimaslahi.
 
Buggati semaji la dunia karibu sana NYUMBANI.

Karibu mtunduizi wetu jezi zetu si UBAO WA MATANGAZO. Wala hutayaona maandishi koko mpaka chini ya mgongo.

#DaimaMbeleNyumaMwiko
#1935ForEver
Ndio zipo nafac za mwisho. Hao wenye MATANGAZO WAPO NAFASI ZA JUUU. Pole dada
 
Hata sisi wengine hatukuwa na imani na MO , na mimi nimeweka maandiko mengi sana humu kuhusu utapeli wa MO kwenye masuala ya Simba , nilikuwa Team Kilomoni (wanaofuatilia jf wanajua) , Lakini sijawahi kuisaliti Simba.

Hebu jiangalie kwenye video hizi halafu utueleze yaliyokukuta.
Lakini leo kawauliza, je aliposema "Kwa Simba hii hata waje Barcelona na akina Messi wao, lazima wakae"; je hapo napo mliamuamini?
 
Back
Top Bottom