Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kumbe sikuhizi hauko Chadema?Walichokifanya yanga leo kimenikumbusha 2015 kwenye kosa walilofanya chadema
tehe,,tehe,,haaa mtani umefurahi mwenyewe!Buggati semaji la dunia karibu sana NYUMBANI.
Karibu mtunduizi wetu.....jezi zetu si UBAO WA MATANGAZO....Wala hutayaona maandishi koko mpaka chini ya mgongo......
#DaimaMbeleNyumaMwiko
#1935ForEver
Manara ameukumbusha uongozi wetu KUBADILIKA...kutokuwa na visingizio na bodi ya ligi na TFF....nina imani watayafanyia kazi kubwa.......tehe,,tehe,,haaa mtani umefurahi mwenyewe!
Kumbuka kujiandaa una mechi mbili kubwa muhimu,ngao ya hisani mtakayocheza na wataleban wa msimbazi na ya pili wadogo zao wakina JJ Okocha na Nwanko Kanu.
🤣🤣Ninampenda sana Manara kwa vituko vyake
👍💪💪Kwakua hakuwahi kuwa na ajira pale Simba Sc (alikuwa ni kibarua), sio mbaya kukubali ajira kutoka upande wa pili...
umeongea ukweli mara nyingi kuna maamuzi yanafanywa na viongozi wa vilabu vyetu lakini hatujawahi kufikiria kuhama Simba huyu hakuwa Simba alikuja kimaslahi.Hata sisi wengine hatukuwa na imani na MO , na mimi nimeweka maandiko mengi sana humu kuhusu utapeli wa MO kwenye masuala ya Simba , nilikuwa Team Kilomoni (wanaofuatilia jf wanajua) , Lakini sijawahi kuisaliti Simba.
Hebu jiangalie kwenye video hizi halafu utueleze yaliyokukuta.
View attachment 1906794
View attachment 1906795
Ohoòooo !!Utamlisha wewe?
Ndio zipo nafac za mwisho. Hao wenye MATANGAZO WAPO NAFASI ZA JUUU. Pole dadaBuggati semaji la dunia karibu sana NYUMBANI.
Karibu mtunduizi wetu jezi zetu si UBAO WA MATANGAZO. Wala hutayaona maandishi koko mpaka chini ya mgongo.
#DaimaMbeleNyumaMwiko
#1935ForEver
Lakini leo kawauliza, je aliposema "Kwa Simba hii hata waje Barcelona na akina Messi wao, lazima wakae"; je hapo napo mliamuamini?Hata sisi wengine hatukuwa na imani na MO , na mimi nimeweka maandiko mengi sana humu kuhusu utapeli wa MO kwenye masuala ya Simba , nilikuwa Team Kilomoni (wanaofuatilia jf wanajua) , Lakini sijawahi kuisaliti Simba.
Hebu jiangalie kwenye video hizi halafu utueleze yaliyokukuta.
Kwahiyo alikuwa muongo toka kitambo eee ?Lakini leo kawauliza, je aliposema "Kwa Simba hii hata waje Barcelona na akina Messi wao, lazima wakae"; je hapo napo mliamuamini?