Manara's Press: A pure conflict Of Interest:

Mario Kejob

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2020
Posts
441
Reaction score
536
Maelezo yake yote yamejikita kwenye maslahi binafsi na imedhihirika kuwa yeye alikuwa anajihisi kama ni mkubwa kuliko Simba. Majigambo ya kila aina. What an ego centric individual.
Tunashabikia Simba na sio Manara. Manara did not make Simba but the reverse is true.
Apeleke huo u tia mchuzi pangu pakavu wake huko huko GSM na Azam na Simba hapendwi mtu inapendwa club.
Amezengua acha tu azenguliwe. Angekaa kimya ingekuwa vizuri lakini inaelekea anataka malumbano na ninaliomba chama langu lisimjibu kitu.
Mo put it right, NO BODY IS BIGGER THAN SIMBA.
Before I had a little sympathy for him but now it's all gone. He si now acting as a snitch. May be he is.
 
Umetumwa au fanya kazi acha upambe
 
You also sounds like a MO's hoe!.

I am a Simba fan, but Haji gots some points. Can u withstand working for six tiresome years without a contract? Yes, if you get kicked off, get outside and throw some stone to the kicker.

You expected Haji to shut off while MO's dogs are barking pretending to mean that there is nobody bigger than Simba? If Yes, are Babra's nd MO's decisions the final?

Simba ni watu na watu ni kama hao akina Haji. Kwani Simba wewe unaelewa ni nini? Kuna jitu linaitwa Simba?? . Muunganiko huo wa Management na wachezaji ndiyo Simba yenyewe.

Hatuwezi kukwepa matatizo kwa kujidangnya kuwa hayapo.
 
Haji anaonekana bado roho inamuuma kuondoka Simba SC, hakujipa muda kujiandaa kisaikolojia, aliropoka tu mitandaoni bila kujua madhara yake nahisi hata akilala bado atakuwa anaota anaisemea Simba SC, huyu aachwe ikibidi aende akapewe ushauri nasaha ili akae sawa, anadhani kuisema Simba SC ndio atapata nafuu kumbe press ikiisha anaendelea kuumia tu.
 
You also sounds like a MO's hoe!.

I am a Simba fan, but Haji gots some points. Can u withstand working for six tiresome years without a contract? Yes, if you get kicked off, get outside and throw some stone to the kicker.

You expected Haji to shut off while MO's dogs are barking pretending to mean that there is nobody bigger than Simba? If Yes, are Babra's nd MO's decisions the final?

Simba ni watu na watu ni kama hao akina Haji. Kwani Simba wewe unaelewa ni nini? Kuna jitu linaitwa Simba?? . Muunganiko huo wa Management na wachezaji ndiyo Simba yenyewe.

Hatuwezi kukwepa matatizo kwa kujidangnya kuwa hayapo.
Yes, fag.
 
Maelezo yake yote yamejikita kwenye maslahi binafsi na imedhihirika kuwa yeye alikuwa anajihisi kama ni mkubwa kuliko Simba. Majigambo ya kila aina. What an ego centric individual.
Tunashabikia Simba na sio Manara. Manara did not make Simba but the reverse is true.
Apeleke huo u tia mchuzi pangu pakavu wake huko huko GSM na Azam na Simba hapendwi mtu inapendwa club.
Amezengua acha tu azenguliwe. Angekaa kimya ingekuwa vizuri lakini inaelekea anataka malumbano na ninaliomba chama langu lisimjibu kitu.
Mo put it right, NO BODY IS BIGGER THAN SIMBA.
Before I had a little sympathy for him but now it's all gone. He si now acting as a snitch. May be he is.
.

Apeleke huo u tia mchuzi pangu pakavu wake huko huko GSM na Azam na Simba hapendwi mtu inapendwa club
 
Watanzania wengi ni wa ajabu sana Mfano wewe ukweli unaujua ila unajitoa ufahamu.TUJIKITE Kujadili hoja Alizotoa Manara kwa kupangua hoja kwa hoja tusimuangalie na kumshambulia Manara tuchambue hoja zake kwa faida ya Simba kulingana na huyu mwekezaji anayelalamikiwa kuwa ni Tapeli
 
Maelezo yake yote yamejikita kwenye maslahi binafsi na imedhihirika kuwa yeye alikuwa anajihisi kama ni mkubwa kuliko Simba. Majigambo ya kila aina. What an ego centric individual.
Tunashabikia Simba na sio Manara. Manara did not make Simba but the reverse is true.
Apeleke huo u tia mchuzi pangu pakavu wake huko huko GSM na Azam na Simba hapendwi mtu inapendwa club.
Amezengua acha tu azenguliwe. Angekaa kimya ingekuwa vizuri lakini inaelekea anataka malumbano na ninaliomba chama langu lisimjibu kitu.
Mo put it right, NO BODY IS BIGGER THAN SIMBA.
Before I had a little sympathy for him but now it's all gone. He si now acting as a snitch. May be he is.
MO alidhani Manara ni yuleyule wa miaka yote kwa kula mkate uleule....AZAM,ASAS,GSM wametumia mwanya huohuo kwa MO kupitia MANARA kutangaza bidhaa zao KWA mikataba yenye mashiko.MO alikuwa hatua 100 nyuma.MANARA msemaji wa SIMBA FC na sio MO ENTERPRISES,anafanya kazi na GSM not YANGA, AZAM not AZAM FC, ASAS DIARIES...KWA press ya jana kilichoonekana ni maslahi tuu , ni chuki za kimaslahi tuu MO vs Manara, SIMBA FC v MANARA na HAJIS alikuwa very technical ktk maongezi yake.
 
Back
Top Bottom