Levels baby
JF-Expert Member
- Sep 26, 2019
- 831
- 770
subiri mpaka walau robo fainali wakutane na timu za maana, sio hao kina atalanta kwenye kundi la vibondeNina uhakika katika timu bora kabisa kwa kipindi hiki na imekamilika kila sekta basi ni Man city,kwa maana wakubwa wote(Liverpool,Madrid,Barca,Inter,Psg,Juventus,Munich) wote asaiv wanaunga unga tu kupata matokeo .
ukiachana na zile takataka ambazo hazishiliki kabisa UEFA,mana hata zingekuwepo zisingeweza kumzuia jamaa namaanisha(Arsenal na Man U).
kisa nn mkuu unitukanefala.....wewe....
kisa nn mkuu unitukanefala.....wewe....
Awaombe ladhi amewakosea sana.Mleta mada wewe ni mpuuz sana
Unataja team kubwa alafu unaacha kuitaja Chelsea why?
Muda utaongeaMsimu uliopita ndio walitakiwa kuchukua tafauti na msimu huu...
Na msimu huu uwezokano wa kutoka mapema upo mkubwa tuu tofauti na msimu uliopita.
Hizo timu za kucheza rede hapa tunaongelea ma Papa bahariniMleta mada wewe ni mpuuz sana
Unataja team kubwa alafu unaacha kuitaja Chelsea why?
Man u/Arsenal [emoji23][emoji23][emoji23]kisa nn mkuu unitukane
Manchester City anaubora gani?Nina uhakika katika timu bora kabisa kwa kipindi hiki na imekamilika kila sekta basi ni Man city,kwa maana wakubwa wote(Liverpool,Madrid,Barca,Inter,Psg,Juventus,Munich) wote asaiv wanaunga unga tu kupata matokeo .
ukiachana na zile takataka ambazo hazishiliki kabisa UEFA,mana hata zingekuwepo zisingeweza kumzuia jamaa namaanisha(Arsenal na Man U).
Timu gani barani ulaya ina unafuu kuizidi Man cityManchester City anaubora gani?
Uefa yenyewe kila mwaka kwenye group stage anapangwa na timu dhaifu zote, cheki hata hata kundi lake la mwaka huu ni timu dhaifu sana, mtoano ukija chali . Huo ubora wa Manchester City uko wapi?
Muda utaongea
Timu gani barani ulaya ina unafuu kuizidi Man city
TungojeMuda...?
Misimu yote mitatu iliyopita nayo sio muda...? Yani huyo akikutana na vigogo utamuonea huruma Pep Guardiola na Citizens yake.
Msimu uliopita ndio walikuwa na nafasi kubwa ya kuchukua hilo kombe kutokana Timu nyingi kubwa kuwa hoi...
Lakini msimu huu moto unawaka mkuu