Manchester city hajawahi kufungwa na inter millan kwenye uwanja wake wa nyumbani kabisa je ataruhusu kipigo leo??

Manchester city hajawahi kufungwa na inter millan kwenye uwanja wake wa nyumbani kabisa je ataruhusu kipigo leo??

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Ngoja tuone.
Screenshot_20230610-095446.jpg
 
Huwa mnanifurahisha sana nyie wachambuzi wa mpira. Yaani unatumia rekodi za mwaka 97 kui judge hii man city ya leo?
 
Mleta mada najua ile

Manchester city vs Inter Milan

Imekuchanganya na kuona Man City yupo home.

Jibu ni kwamba City alitangulia kufuzu fainali.
 
Mleta mada najua ile

Manchester city vs Inter Milan

Imekuchanganya na kuona Man City yupo home.

Jibu ni kwamba City alitangulia kufuzu fainali.
Nawewe pia umeingia cha kike, inter ndie alitangulia final.

Ile route ya city (city, bayern, madrid, chelsea) ndio ilikua inaenda kutoa host.
 
Back
Top Bottom